Mwanzo 27:22 BHN

22 Yakobo akamkaribia baba yake Isaka, naye akampapasa na kusema, “Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni mikono ya Esau.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:22 katika mazingira