Mwanzo 27:25 BHN

25 Basi, baba yake akasema, “Niletee hiyo nyama nile mawindo yako mwanangu, nikubariki.” Hapo Yakobo akampelekea chakula, naye akala; akampelekea divai pia, akanywa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:25 katika mazingira