Mwanzo 27:27 BHN

27 Basi, Yakobo akamkaribia baba yake na kumbusu, na baba yake aliposikia harufu ya mavazi yake, akambariki akisema,“Tazama, harufu nzuri ya mwananguni kama harufu ya shamba alilobariki Mwenyezi-Mungu!

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:27 katika mazingira