Mwanzo 27:46 BHN

46 Rebeka akamwambia Isaka, “Sina raha kabisa maishani kwa sababu ya hawa wanawake wa Esau Wahiti. Ikiwa Yakobo ataoa mmojawapo wa wanawake hawa Wahiti, maisha yangu yana faida gani?”

Kusoma sura kamili Mwanzo 27

Mtazamo Mwanzo 27:46 katika mazingira