Mwanzo 28:13 BHN

13 Mwenyezi-Mungu alisimama juu ya ngazi hiyo, akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako.

Kusoma sura kamili Mwanzo 28

Mtazamo Mwanzo 28:13 katika mazingira