Mwanzo 29:10 BHN

10 Yakobo alipomwona Raheli, bintiye Labani, kaka ya mama yake, na alipowaona kondoo wa Labani, mjomba wake, akaenda na kulivingirisha lile jiwe kwenye mdomo wa kisima, akalinywesha maji kundi la Labani, mjomba wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:10 katika mazingira