Mwanzo 29:15 BHN

15 Siku moja Labani alimwambia Yakobo, “Wewe ni jamaa yangu lakini hiyo haimaanishi kwamba utanitumikia bure. Niambie unataka ujira kiasi gani!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:15 katika mazingira