Mwanzo 29:23 BHN

23 Lakini jioni, Labani akamchukua Lea, binti yake mkubwa, na kumpeleka kwa Yakobo. Yakobo akalala naye.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:23 katika mazingira