Mwanzo 29:28 BHN

28 Yakobo akakubali. Na Yakobo alipomtimizia Lea siku zake saba, Labani akampa Raheli, binti yake mdogo awe mke wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:28 katika mazingira