Mwanzo 29:30 BHN

30 Basi, Yakobo akalala na Raheli pia. Lakini Yakobo akampenda Raheli kuliko Lea; akamtumikia Labani miaka mingine saba.

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:30 katika mazingira