Mwanzo 29:7 BHN

7 Hapo Yakobo akawaambia, “Naona bado ni mchana, na si wakati wa kuwakusanya kondoo pamoja. Basi, wanywesheni kondoo maji, mwende mkawachunge.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 29

Mtazamo Mwanzo 29:7 katika mazingira