Mwanzo 3:17 BHN

17 Kisha akamwambia huyo mwanamume,“Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo,ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile;kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa.Kwa jasho utajipatia humo riziki yako,siku zote za maisha yako.

Kusoma sura kamili Mwanzo 3

Mtazamo Mwanzo 3:17 katika mazingira