1 Raheli alipoona kwamba hajamzalia Yakobo watoto, alimwonea wivu Lea, dada yake, akamwambia Yakobo, “Nipatie watoto, la sivyo, nitakufa.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 30
Mtazamo Mwanzo 30:1 katika mazingira