Mwanzo 30:18 BHN

18 Lea akasema, “Mungu amenipa ujira wangu kwa sababu nilimpa mume wangu mjakazi wangu.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Isakari.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:18 katika mazingira