20 Akasema, “Mungu amenipa zawadi bora. Sasa mume wangu ataniheshimu kwa maana nimemzalia watoto sita wa kiume.” Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Zebuluni.
Kusoma sura kamili Mwanzo 30
Mtazamo Mwanzo 30:20 katika mazingira