Mwanzo 30:25 BHN

25 Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Niruhusu nirudi nyumbani, katika nchi yangu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:25 katika mazingira