Mwanzo 30:35 BHN

35 Lakini siku hiyohiyo Labani akaenda akawatenga mabeberu wote wenye milia na madoadoa, mbuzi wote majike waliokuwa na madoadoa na mabakamabaka, kila mnyama aliyekuwa na weupe mwilini mwake, na kila kondoo mweusi, akawaweka chini ya ulinzi wa wanawe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:35 katika mazingira