Mwanzo 30:37 BHN

37 Basi, Yakobo akatwaa fito mbichi za miti ya mlubna, mlozi na mwaramoni, akazibambua ili mistari myeupe ionekane katika fito hizo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:37 katika mazingira