Mwanzo 30:6 BHN

6 Raheli akasema, “Mungu amenitendea sawa, amekisikia kilio changu na kunipa mtoto wa kiume.” Akamwita mtoto huyo Dani.

Kusoma sura kamili Mwanzo 30

Mtazamo Mwanzo 30:6 katika mazingira