Mwanzo 31:1 BHN

1 Basi, ikasikika kwamba watoto wa kiume wa Labani walinungunika na kusema, “Yakobo amenyakua kila kitu cha baba yetu; ndivyo alivyopata kuwa tajiri.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:1 katika mazingira