21 Basi, Yakobo akachukua mali yake yote, akatoroka. Baada ya kuvuka mto Eufrate, alielekea Gileadi, nchi ya milima.
Kusoma sura kamili Mwanzo 31
Mtazamo Mwanzo 31:21 katika mazingira