Mwanzo 31:3 BHN

3 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yakobo, “Rudi katika nchi ya wazee wako na kwa jamaa yako, nami nitakuwa pamoja nawe.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:3 katika mazingira