39 Mimi sikukuletea hata mara moja mnyama wako aliyeuawa na mnyama wa porini, bali nilifidia hasara hiyo mimi mwenyewe. Wewe ulinitaka nilipe bila kujali kama aliibiwa mchana au usiku!
Kusoma sura kamili Mwanzo 31
Mtazamo Mwanzo 31:39 katika mazingira