Mwanzo 31:41 BHN

41 Kwa miaka ishirini hii yote nimeishi nyumbani kwako. Nilikutumikia miaka kumi na minne kwa ajili ya binti zako wawili, na miaka sita nikawachunga wanyama wako. Lakini wewe, ukabadilisha ujira wangu mara kumi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:41 katika mazingira