Mwanzo 31:5 BHN

5 Yakobo akawaambia, “Naona kuwa baba yenu hanijali tena kama hapo awali. Lakini Mungu wa baba yangu amekuwa pamoja nami.

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:5 katika mazingira