Mwanzo 31:50 BHN

50 Kama ukiwatesa binti zangu, au ukioa wanawake wengine zaidi ya hawa, basi ujue kwamba hakuna aliye shahidi kati yetu ila Mungu mwenyewe.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 31

Mtazamo Mwanzo 31:50 katika mazingira