Mwanzo 32:29 BHN

29 Ndipo Yakobo akamwambia, “Tafadhali, nakuomba uniambie jina lako.” Lakini yeye akamwambia, “Ya nini kuniuliza jina langu?” Kisha akambariki Yakobo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 32

Mtazamo Mwanzo 32:29 katika mazingira