Mwanzo 32:7 BHN

7 Basi, Yakobo akaogopa sana na kufadhaika. Akawagawa katika makundi mawili watu waliokuwa pamoja naye, kondoo, mifugo mingine na ngamia,

Kusoma sura kamili Mwanzo 32

Mtazamo Mwanzo 32:7 katika mazingira