Mwanzo 33:17 BHN

17 Lakini Yakobo akasafiri kwenda Sukothi, na huko akajijengea nyumba na vibanda kwa ajili ya wanyama wake. Kwa sababu hiyo, mahali hapo pakaitwa Sukothi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 33

Mtazamo Mwanzo 33:17 katika mazingira