Mwanzo 33:8 BHN

8 Ndipo Esau akauliza, “Nini maana ya kundi hili nililokutana nalo njiani?” Yakobo akamjibu, “Nilitumaini kupata fadhili kwako ee bwana wangu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 33

Mtazamo Mwanzo 33:8 katika mazingira