Mwanzo 34:13 BHN

13 Basi, watoto wa kiume wa Yakobo wakamjibu Shekemu na baba yake Hamori kwa hila, kwa kuwa Shekemu alikuwa amekwisha mnajisi dada yao Dina.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:13 katika mazingira