Mwanzo 34:19 BHN

19 Kijana huyo hakusita hata kidogo kutekeleza sharti hilo, kwa vile alivyompenda binti wa Yakobo. Isitoshe, Shekemu ndiye aliyeheshimika kuliko wote nyumbani kwao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:19 katika mazingira