Mwanzo 34:27 BHN

27 Baada ya mauaji hayo, watoto wengine wa kiume wa Yakobo waliingia mjini na kuuteka nyara mji huo, kwa sababu dada yao alikuwa amenajisiwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:27 katika mazingira