Mwanzo 34:5 BHN

5 Yakobo akapata habari kwamba Dina, bintiye, alikuwa amenajisiwa na Shekemu; lakini kwa kuwa wanawe walikuwa malishoni, alinyamaza mpaka waliporudi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:5 katika mazingira