Mwanzo 34:8 BHN

8 Lakini Hamori akawaambia, “Mwanangu Shekemu anampenda sana binti yenu. Basi, tafadhali mumruhusu amwoe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 34

Mtazamo Mwanzo 34:8 katika mazingira