Mwanzo 35:14 BHN

14 Yakobo akasimika nguzo ya jiwe la ukumbusho mahali hapo Mungu alipozungumza naye, akaiweka wakfu kwa kuimiminia tambiko ya kinywaji na mafuta.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:14 katika mazingira