Mwanzo 35:16 BHN

16 Yakobo na jamaa yake yote waliendelea na safari yao kutoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efratha, Raheli akashikwa na uchungu mkali wa kuzaa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:16 katika mazingira