Mwanzo 35:22 BHN

22 Wakati Israeli alipokuwa anakaa nchini humo, mwanawe Reubeni, alilala na Bilha, suria wa baba yake; naye Israeli akasikia habari hizo.Yakobo alikuwa na watoto wa kiume kumi na wawili.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:22 katika mazingira