Mwanzo 35:8 BHN

8 Debora, mlezi wa Rebeka, alifariki, akazikwa chini ya mwaloni upande wa kusini wa Betheli. Kwa hiyo Yakobo akauita mji huo Alon-bakuthi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 35

Mtazamo Mwanzo 35:8 katika mazingira