Mwanzo 36:17 BHN

17 Reueli, mwanawe Esau, aliwazaa Nahathi, Zera, Shama na Miza, kila mmoja wao akawa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Reueli katika nchi ya Edomu, waliotokana na Basemathi, mkewe Esau.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:17 katika mazingira