Mwanzo 36:24 BHN

24 Watoto wa kiume wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana. Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto jangwani, alipokuwa anawachunga punda wa baba yake Sibeoni.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:24 katika mazingira