Mwanzo 36:35 BHN

35 Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:35 katika mazingira