Mwanzo 36:39 BHN

39 Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:39 katika mazingira