Mwanzo 36:43 BHN

43 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:43 katika mazingira