17 Yule mtu akamwambia, “Bila shaka wamekwisha ondoka, kwa sababu niliwasikia wakisema kwamba wanakwenda Dothani.” Basi, Yosefu akawafuata ndugu zake, akawakuta huko Dothani.
Kusoma sura kamili Mwanzo 37
Mtazamo Mwanzo 37:17 katika mazingira