Mwanzo 37:2 BHN

2 Hizi ndizo habari za ukoo wa Yakobo.Yosefu, akiwa kijana wa umri wa miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo na mbuzi pamoja na ndugu zake, wana wa Bilha na Zilpa, wake za baba yake. Yosefu akawa anamjulisha baba yake juu ya tabia mbaya za ndugu zake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:2 katika mazingira