25 Walipoketi kula, wakaona msafara wa Waishmaeli wakisafiri kutoka Gileadi kwenda Misri. Ngamia wao walikuwa wamebeba ubani, zeri na manemane.
Kusoma sura kamili Mwanzo 37
Mtazamo Mwanzo 37:25 katika mazingira