Mwanzo 37:28 BHN

28 Wafanyabiashara Wamidiani walipofika mahali hapo, hao ndugu wakamtoa Yosefu katika shimo, wakamwuza kwa Waishmaeli kwa bei ya vipande ishirini vya fedha; nao wakamchukua Yosefu hadi Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:28 katika mazingira