Mwanzo 38:14 BHN

14 alivua mavazi yake ya ujane na kujifunika shela kisha akaketi penye lango la kuingilia Enaimu, kijiji kilichokuwa njiani kwenda Timna. Alifanya hivyo kwa vile aliona kwamba Shela alikwisha kuwa mtu mzima, lakini yeye Tamari hakuozwa awe mkewe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:14 katika mazingira