Mwanzo 38:17 BHN

17 Yuda akamjibu, “Nitakupa mwanambuzi kutoka kundi langu.” Tamari akamwambia, “Weka rehani kuthibitisha utaniletea huyo mwanambuzi.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:17 katika mazingira